Song-
Alivyonipenda
Artist-
Otile Brown ft King Kaka
Saa zingine anayekupenda humpendi
Unapenda mwingine anayependa mwingine
Hata usiompendaga (nouhuhu)
Na kila mtu anataka typu yake
Za zingine hata wale wenye hadhi na sisi tunawakataaga (nouhuhu)
Oo na vile
Chorus
(Alivyonipenda yule alivyonipendaga
Alivyonipenda yule sikujali nikamuaga) X2
Yule aliyenipenda bure, oh nikamwacha kwa jili yake yule
Aliyefwata pesa na zenyewe sikuona maana
Kweli macho yalinihadaa, aki macho yalinihadaa
Alivyo nipenda kwa bidii kazidi kunionya sisikii
Urembo pekee hauridhishi, oh inahitaji Zaidi
Typu yangu, ni yule anayejua dhamani ya pesa yangu
Typu yangu, ni yule anayenienzi
Ina maana gani, uwe na msichana mrembo dunia mzima
Na hakupendii
Ina maana gani, uwe na mume mwenye hela chungu nzima
Na hakudhamini
Chorus
King kaka, alright
Alikuwa wangu Wahu wakati nilikuwa nameless
Nikimwona nasinzia ka nameless
Uko? ntakuja kalesa
Love ilikuwa genuine than leather
True na huyu we started kitambo
Wakati skuma mezani was diambo
Wakati stima kwangu was candle
Wakati birthday yake haikuwa na keki
Wakati nikisota alinipiga jeki
Nikachanganyikiwa na rangi ya thao
Yangu ikafunguka club ya ubakoa
Leo mwacha kesho course tunakata
Tilizidocument snapture, niko empty
Nammiss kishenzi, alinipa ya kweli mapenzi
Lonely! Nammiss kishenzi
Chorus
Mzugaga nampenda ka mzugaga x2
Alivyonipenda yule oh yule alivyonipenda
Alivyonipendaga
A great collabo, a great piece from Omy and King Kaka. They
just did it. Take a tour through the lyrics and if you have already done that,
do it once more. For real the song carries with it lots of feelings.
Don’t forget to like our fan page on Facebook an keep your
requests for more lyrics coming.
Regards 254lyrics
No comments:
Post a Comment