H_art the band ft
Bensoul
Masheesha
Msupa wangu anataka Masheesha, na kwa mfuko pesa zangu
zimeisha
Na yule waiter ananitisha, eti mabouncer atawaita
Na huyu dem bado anaitisha, na me nashindwa sasa venye
nitazusha
Tulipatana juzi kwenye insta- gram, na mimi staki choma
picha
Itakuwa ngori, skiza story
Wacha kucheka hii ni ngori, nilimuwacha bila sory
Na ukicheza
(Utapatana na ye patana naye patana na yeye yeye (dem wa
masheesha))x4
Kwa profile mimi ni lawyer, kizungu tamu kama ile ya Lumumba
Lakini ukweli mimi ni hawker,
Nina thao mbili manze leo kulithoka, makanjo walinishika
Ata ni bahati stenje bado sijafika
Na huyu dem zake bado hazijashika, mzinga tatu sasa
zimekatika
Itakuwa ngori, skiza story
Wacha kucheka hii ni ngori, nilimuwacha bila sory
Na ukicheza
(Utapatana na ye patana naye patana na yeye wewe (dem wa
masheesha))x4
Najiuliza venye nitaenda choo, nitorokee uko nyuma backdoor
Akinisaka asinipate ng’o, akiuliza aambiwe nimego
Lakini vile mimi ninaenda kuchomoka, yule waiter akaniona
Hiyo bill akaidrop, na kwa mfuko mimi sina hata bob
Itakuwa ngori, skiza story
Wacha kucheka hii ni ngori, nilimuwacha bila sory
Na ukicheza
(Utapatana na ye patana naye patana na yeye wewe (dem wa
masheesha))x4
No comments:
Post a Comment