Mwana FA ft Venessa Mdee- Dume Suruali lyrics
We ni dume
suruali kaa mbali nami, mbali nami
kama dume
suruali kaa mbali nami, mbali nami
Falsafa, hudat
hudat hii ni salam na ufaham
kama unauza
mapenzi si kwa binam ngu
huna haja ya
kusubiri hii ni hukumu
hakuna kitu
utapata utangoja kaskorowa zangu
dume suruali
au dume kaptura shauri zako
ili mradi
nsipate hasara
usione utani
me siongei hata kwa ishara
utaniambia
nini hadi unigeuze fala
kwanza naskia
hongo zinaleta mikosi
seltani wangu
gugusi hata ukiongea kidosi
yabaki mapenzi
tusileteane ujambazi
ata upige
sarakasi, utachonga viazi
dhahili kama
nini?
ndio mnavyo
sema, na ukiniomba kesho
hunisikii
tena, kwani unauza nini dada?
hunitakii mema
We ni dume
suruali kaa mbali nami, mbali nami
kama dume suruali
kaa mbali nami, huendani nami
n I want that
gucci fend it spend it on a girl like me
malezi monday
money spend it on a girl like me
ni honge
inanunua nini? kwanini yani?
kuna kipi
nsicho kijua, ina tv ndani?
si ulize
ntakupa nini dada piga moyo konde
viuno vingi
kama wana wa kima konde
sipende hela
kama mfuko na ufanye unavyofanya upate zako
vishawishi
vingi binti sema na moyo wako
na ujifunze
pesa zinauza utu wako
tajiri mtata
kama Salaa, zipo hela sitoi
sio bahili me
ni balaa, unapenda hela zangu?
na me
nazipenda pia
kila mtu abaki
na zake, bye baby tutaongea
mwanaume waiga
wa nini sasa?
ndio mnavyo
sema, na ukiniomba kesho
hunisikii
tena, kwani unauza nini dada?
hunitakii mema
We ni dume
suruali kaa mbali nami, mbali nami
kama dume
suruali kaa mbali nami, huendani nami
I want that
gucci fend it spend it on a girl like me
malezi monday
money spend it on a girl like me
aje aje aje ni
mtoto flani gani yea ni honge gari
my sweetie
sweetie baby hah, wanna see you today
unipeleke
party yeh, aje aje aje njoo nikupe tiping yeah
sio kwa enzi
ya Maghufuli zari ilikuwa longe skuizi hakuna la mentali
niamka na
ukaniacha ntakujia usingizini
na epushe
shari matatizo yote ya nini?
hakuna kipya
chini ya jua, hata usioyafanya nishayaskia
ningekuwa
mwangaji ningeshafulia wangu
madem wangu wa
zamani wote wangekuwa maadui zangu
mwanaume ovyo
wewe
ndio mnavyo
sema, na ukiniomba kesho
hunisikii
tena, kwani unauza nini dada?
hunitakii mema
baki na amu
zako
We ni dume
suruali kaa mbali nami, mbali nami
kama dume
suruali kaa mbali nami, huendani nami
I want that
gucci fend it spend it on a girl like me
malezi monday
money spend it on a girl like me
baba bure huyu
unamwambia
nani? unamwambia nani sasa?
No comments:
Post a Comment