Tuesday, 31 January 2017

Jijue lyrics - Collo ft Scooby the lazy rapper

Jijue Lyrics Collo ft X Scooby the lazy Rapper
hakuna kuyumba yumba
boss kama kalabima bado tuko on toes kama balarina
Ukitaka ka utazame juzi pia kesho tutalamba ka mchuzi eeh
Si kwa sembe tu
Si kwa mlo tu
Si kwa hela tu Si kwa mali tu
Mwanaume ni kumjua Yesu (jijue)
Mwanaume ni kumjua Yesu
mwanaume ni kumjua yesu
Yesu Yesu Yesu yesu
Mwanaume ni kumjua Yesu
mwanaume ni kumjua Yesu

Jina ni mingi tutasikia
Moja lakini bado lina ng'aa ra
Hakuna aliye msafi kama yeye
Na sio bose au jibu la
Hii ni matata uliza Kenzo nakudouble dare
Najua ninapokwenda sitaja potea
Kwa neema yake ndio nanyenyekea
Bwana asifiwe na si siri tunamtegemea

Si kwa sembe tu
Si kwa mlo tu
Si kwa hela tu Si kwa mali tu
Mwanaume ni kumjua Yesu (jijue)
Mwanaume ni kumjua Yesu
mwanaume ni kumjua yesu
Yesu Yesu Yesu yesu
Mwanaume ni kumjua Yesu
mwanaume ni kumjua Yesu

Hakuna uceleb bila pesa so
naweka imani kwa Mungu
Vuma uenee bila pressure bro
Siste pia juu nyumbani ndio nguvu
Ni family kwanza kabisa
Kwa hii fani, nadra kubisha
Heshima kwa baba nyanyangu na mama sijali
Kijana utalisha watashiba?

Si kwa sembe tu
Si kwa mlo tu
Si kwa hela tu Si kwa mali tu
Mwanaume ni kumjua Yesu (jijue)
Mwanaume ni kumjua Yesu
mwanaume ni kumjua yesu
Yesu Yesu Yesu yesu
Mwanaume ni kumjua Yesu
mwanaume ni kumjua Yesu

Btw hii ni ile kondoo
hii ni ile kondoo
Watangoja sanaa niwe imbo
Ambia hao niko strong than before
Kama ni life, mimi nime pona
Ningekuwa dishi basi ningenona
Baba yangu sonko ati ye ni donor
Maisha nywee c imenyooka

Si kwa sembe tu
Si kwa mlo tu
Si kwa hela tu Si kwa mali tu
Mwanaume ni kumjua Yesu (jijue)
Mwanaume ni kumjua Yesu
mwanaume ni kumjua yesu
Yesu Yesu Yesu yesu
Mwanaume ni kumjua Yesu
mwanaume ni kumjua Yesu

Sunday, 1 January 2017

Muziki Lyrics - Darasa ft Ben Pol

Darasa ft Ben Pol lyrics- Muziki lyrics

Rudi utotoni,
Usipotembea utabebwa mgongoni
255 champion boy niite bwana Asamata, aaahg
unaota mapembe ndio uongeze mkia
na ukinibeep tu nakupigia
na let me make one thing clear
bla bla bla sitaki kusikia
sio simba sio chui sio mamba aagh
kazi yangu inatosha kujigamba aagh
na sina maneno ya kwenye kanga
kazi juu ya kazi yaani bampa to bampa
mzaa unaweza kuzaa kizaza
sinzia na fegi uchome kibanda
kalale ndoto zako zote za kitanda
sisi bado tuko macho bila ya wanga

Chorus
(funga mkanda, kaza na kamba
ama ufate nyayo uchane msamba
pasua miamba, pasua anga
tunasemanga tunachambua kama karanga
maisha na muziki, acha maneno weka muziki
ukiwa sup ukiwa hurt ukiwa juu ukiwa chini
piga muziki,
yeeeeh safari na muziki eeeee
wacha maneno weka muziki yeeeeeeh
ukipewa unachopenda na ukitaka kucheza cheza muziki)

bambata shika, kamata rumba chakacha
ebu kam ucheze shadata, shadata aaah

unataka kukimbia na huna breaks,
what do you expect?
bongo Congo kwa Tabulei
cheza lokasa ya bongo uwes kumake
watch yourself usije kajiconfusi
mzuka wa kuruka regea kwenye bluzi
una mchuzi, no excusi
maisha yetu ya kila siku kama vile movie
vitu vingine havitakangi ujuaji
tajikuta unatandikia watu jamvi,
kusubiria embe chini ya mnazi
kumwelewesha chizi tajipakasi

Chorus
(wanataka tupotee kwenye back
tunapeleka game to the top top
ishara tosha that we dont stop
dont stop we dont stop)x2

Bazokizo Lyrics - Collo ft Bruz Newton


Collo ft Bruz Newton – Bazokizo lyrics
director Bob Muranda

Ilibidi niokoke ndio niwashe jiko, siko kwa canality juu niko ridho
ulimi bado rive risasi zipo mistari bado kali na mezani zipo
silabi simple kama aeiou, rudia mara twice aeiou
kati chini na za improtu subiri usichizi hii ni intro tu

CHORUS
Two fingers in the sky, kunja ngumi into the side
sio ngumu kudecide tuzikwende tukislide
we can hook it through the night
Thank the Lord that am aliveX2

kabeat kakidrop tu Bazokizo
check in ukitap tu Bazokizo
so follow if you want to Bazokizo
no body can stop you Bazokizo x2

Bazokizo, Bazokizo
Bazokizo, Bazokizo

Wanauliza collo kwani ulienda okay wengi hawajui nishabanduka
kama shujaaa si nilipata rufaa juu pasia za hekalu zilishararuka
kumbe apa siri ni kuchangamka sasa anga zangu chonjo ninatambaruka
mi niko na Yesu nilijanjaruka kutoboa hii maisha ya panda mashuka


Bazokizo, Bazokizo
Bazokizo, Bazokizo x4


kabeat kakidrop tu Bazokizo
check in ukitap tu Bazokizo
so follow if you want to Bazokizo
no body can stop you Bazokizo x2

Bazokizo, Bazokizo
Bazokizo, Bazokiz0

lets move to right move back to the left
kila mtu anafollow  usipodo uko solo X2