Darasa ft
Ben Pol lyrics- Muziki lyrics
Rudi utotoni,
Usipotembea utabebwa mgongoni
255 champion boy niite bwana Asamata, aaahg
unaota mapembe ndio uongeze mkia
na ukinibeep tu nakupigia
na let me make one thing clear
bla bla bla sitaki kusikia
sio simba sio chui sio mamba aagh
kazi yangu inatosha kujigamba aagh
na sina maneno ya kwenye kanga
kazi juu ya kazi yaani bampa to bampa
mzaa unaweza kuzaa kizaza
sinzia na fegi uchome kibanda
kalale ndoto zako zote za kitanda
sisi bado tuko macho bila ya wanga
Chorus
(funga mkanda, kaza na kamba
ama ufate nyayo uchane msamba
pasua miamba, pasua anga
tunasemanga tunachambua kama karanga
maisha na muziki, acha maneno weka muziki
ukiwa sup ukiwa hurt ukiwa juu ukiwa chini
piga muziki,
yeeeeh safari na muziki eeeee
wacha maneno weka muziki yeeeeeeh
ukipewa unachopenda na ukitaka kucheza cheza muziki)
bambata shika, kamata rumba chakacha
ebu kam ucheze shadata, shadata aaah
unataka kukimbia na huna breaks,
what do you expect?
bongo Congo kwa Tabulei
cheza lokasa ya bongo uwes kumake
watch yourself usije kajiconfusi
mzuka wa kuruka regea kwenye bluzi
una mchuzi, no excusi
maisha yetu ya kila siku kama vile movie
vitu vingine havitakangi ujuaji
tajikuta unatandikia watu jamvi,
kusubiria embe chini ya mnazi
kumwelewesha chizi tajipakasi
Chorus
(wanataka tupotee kwenye back
tunapeleka game to the top top
ishara tosha that we dont stop
dont stop we dont stop)x2
No comments:
Post a Comment