Sunday, 1 January 2017

Niseme nawe Lyrics - Otile Brown ft Baraka The Prince

Otile brown featuring Barakah the Prince
Niseme nawe

Turu turu, ta tara tara yehi
Naitwa Raj unaitwa nani, wewe
unaitwa nani hivi unatoka mtaa gani?
wewe, mtaa gani?
hivi we ni wa nani?
wewe, ni wa  nani?
huo muda wote umekuwa wapi? wewe
umekuwaga wapi? naomba usinipe kisogo
nataka nifungue wangu moyo
btw ninamiliki gari, na sasa liko gereji kidogo
atention x2
baby can i get your attection?
mimi sina ubaya, sina ubaya
just wanna give you some love and affection

(sijui uendako wapi, ila naomba nitembee nawe
nina mengi, ninataka niseme nawe) x2
nataka niseme nawe, kidogo, kusema nawe x2

na wewe, mmmh ah
so baby please usione utani
na maisha yetu sema sio utani
umenimaliza mama aaah
watu fulani, wanadai nikuwache eti uko na fulani
mbona ni la bila mama aah mmm
twende nyumbani, dada ameandaa kachori  nile nawe
kisha maishani, pale niishie birikanikiwa nawe
au koko bichi, tupunge upepo wa bahari
mombasa Malindi, tukaliza ukachili jamani
mama Tanzania

(sijui uendako wapi, ila naomba nitembee nawe
nina mengi, ninataka niseme nawe) x2
nataka niseme nawe, kidogo, kusema nawe x2

ali Tanzania, kosanya
Mombasa Nairobi Kenya, kosanya
Daresalama kosanya
Nitembee mimi na wewe oh Tanzania kosanya
ata Kampala kosanya
Uganda Bunjumbura, kosanya
Nitembee na wewe
(Burundi na Rwanda, kosanya
Luanda kinsasha kosanya
Sudani Ethiopia, kosanya
Kosanya mama) x2

1 comment: