Sunday, 1 January 2017

Ziggo lyrics - Diamond ft AY

Song- Ziggo
Artist- Diamond ft AY
Director-
Picha ninaanza shadata
Picha ninaanza shawaka
Picha ninaanza shachanganyikiwa
Picha ninaanza shadata(oohwah)
Kweli miye, amenikamata,
kwa jeans namemwangalia akinipatia nami sitamwacha
kwa nyumba ananipa mineso moyoni ananipa mateso
shore namate wa ghetto mtam na hapendi dedeso
nakula kwa macho , five star girl si mchezo
(hebu ona x2)
Kweli miye, amenikamata,
kwa jeans namemwangalia akinipatia nami sitamwacha(aah)
Ananifanya kimanga, lugha lafudhi ya kitanga
Msomi akapita na kanga (woow!)dame wa figisi ni wa janga
Anamwona kuhonya tena alivyoshona
Umbo kama katuni wa kuchora
Masingida Dodoma kitandani Sodoma
Kiuno kama nyuki dondora
Maneno ya watu si umenagira
Wasije leta referee ka mpira
Chunga katu usijekuanzia kashikwa na uchizi yaani utagira(woow)
Mtoto yani mukiri bukire Mpaka ndani shigidi shigide
Asa akihikidi hikide ye ndo mama shigudi shigudeh(yeeeh)
Kweli miye, amenikamata,
kwa jeans namemwangalia akinipatia nami sitamwacha
(Tuse tusetsi ya mine budze budze ni ya mine
Mungu ameumba apa ya mine
Natamani nikaseme naye ya mine)x2
Naamini amezaliwa ili mimi naye(eeh)
Mpaka sasa nimechanganyikiwa mpaka yeye awe nami(eeh)
Mtoto yani mukiri bukire Mpaka ndani shigidi shigide
Asa akihikidi hikide ye ndo mama shigudi shigudeh(yeeeh)
Nawishi amezaliwa, ili mimi niwe naye(eeh)
Mpaka sasa nimechanganyikiwa, mpaka yeye awe nami(eeh)
Iwe x5 hii ndoto ni tam mpaka utam umejituliza
Mpaka mjini wanachukiza shika liki bidi ya mine
Ngoja niongeze bidii ya mine, popote ilizali lango ya mine
Nikapige maze nambari  ya mine (tshia)
Yesssayah!!
Nakula kwa macho (beat) kwa macho x3
Kweli miye, amenikamata,
kwa jeans namemwangalia akinipatia nami sitamwacha









No comments:

Post a Comment